Hili ni Jukwaa Maalumu linalo wakusanya watu wote wanaohitaji kuandaliwa Maandiko ya miradi mbalimbali. Hili ni Jukwaa ambalo linawataalamu wakuandaa Maandiko ya Miradi ya aina zote ,yaani Miradi ya kilimo ...
*UMOJA WA SINGLE MOTHERS TANZANIA* ( USMT) Ni kampeni ambayo imejikita kwenye kuwatambua wanawake wanaolea watoto bila waume zao, kuwaunganisha pamoja na kuwasaidia kuzitambua fursa za kiuchumi na kuwapa Elimu ...